
Imeonekana kuwa kuna tofauti kubwa sana ya ada kati ya vyuo vikuu vinavyoendeshwa na serikari na vile vya taasis za kidini. vyuo vikuu kama vile chuo cha Tumaini kinashika nafasi yapili kwa kutoza ada ya 2.5m kikizidiwa tu kidogo na chuo cha KIU ambacho chenyewe kinatoza burungutu la m.3 net ( vyanzo vya habari zetu) vinasema.
kumekuwa nakilio kikubwa cha wanafunzi kwa Tume ya vyuo vikuu Tanzania(TCU) Kushindwa kudhibiti hali hii.
Eimu inazidi kuwa ghali, wanafunzi wanashindwa kuhitimu masomo yao, Je! taifa la Tanzania litafikia vipi dira yake ya maendeleo 2025 iwapo inaandaa taifa la watu wajinga?
those baboons are merciless...
ReplyDeletesdSCz
ReplyDeleteHao mbweha hawataki watoto wa wakulima tufike vyuo vikuu
ReplyDeletena hao wabbunge wetu badala ya kujadili mambo ya msingi kama haya wanabaki ku fuck ana bungeni bull-shit..kaka mbona IFM hujaitaja? pia ada kubwa...
ReplyDeleteHii Tz ye2 kweli tutafika? bora mm ningezaliwa Mogadishu m2 unapewa bastola unaishi vzuri bila kuhangaika na elimu ya kichooooooooooovu!
ReplyDeleteBagamoyo university ndo kinaongoza kwa ada kubwa,chuo kinawaumiza sana wanafunzi,3.m kwa education
ReplyDelete