Tuesday, April 23, 2013

ADA KUBWA KILIO CHA WANAFUNZI VYUO VIKUU PRIVATE




Imeonekana kuwa kuna tofauti kubwa sana ya ada kati ya vyuo vikuu vinavyoendeshwa na serikari na vile vya taasis za kidini. vyuo vikuu kama vile chuo cha Tumaini kinashika nafasi yapili kwa kutoza ada ya 2.5m kikizidiwa tu kidogo na chuo cha KIU ambacho chenyewe kinatoza burungutu la m.3 net ( vyanzo vya habari zetu) vinasema.

kumekuwa nakilio kikubwa cha wanafunzi kwa Tume ya vyuo vikuu Tanzania(TCU) Kushindwa kudhibiti hali hii.

Eimu inazidi kuwa ghali, wanafunzi wanashindwa kuhitimu masomo yao, Je! taifa la Tanzania litafikia vipi dira yake ya maendeleo 2025 iwapo inaandaa taifa la watu wajinga?

6 comments:

  1. those baboons are merciless...

    ReplyDelete
  2. Hao mbweha hawataki watoto wa wakulima tufike vyuo vikuu

    ReplyDelete
  3. na hao wabbunge wetu badala ya kujadili mambo ya msingi kama haya wanabaki ku fuck ana bungeni bull-shit..kaka mbona IFM hujaitaja? pia ada kubwa...

    ReplyDelete
  4. Hii Tz ye2 kweli tutafika? bora mm ningezaliwa Mogadishu m2 unapewa bastola unaishi vzuri bila kuhangaika na elimu ya kichooooooooooovu!

    ReplyDelete
  5. Bagamoyo university ndo kinaongoza kwa ada kubwa,chuo kinawaumiza sana wanafunzi,3.m kwa education

    ReplyDelete

please use the appropriate language to comment. Ze great respects comments from his esteemed readers. thanks for visting this blog.