Tuesday, April 23, 2013

ADA KUBWA KILIO CHA WANAFUNZI VYUO VIKUU PRIVATE




Imeonekana kuwa kuna tofauti kubwa sana ya ada kati ya vyuo vikuu vinavyoendeshwa na serikari na vile vya taasis za kidini. vyuo vikuu kama vile chuo cha Tumaini kinashika nafasi yapili kwa kutoza ada ya 2.5m kikizidiwa tu kidogo na chuo cha KIU ambacho chenyewe kinatoza burungutu la m.3 net ( vyanzo vya habari zetu) vinasema.

kumekuwa nakilio kikubwa cha wanafunzi kwa Tume ya vyuo vikuu Tanzania(TCU) Kushindwa kudhibiti hali hii.

Eimu inazidi kuwa ghali, wanafunzi wanashindwa kuhitimu masomo yao, Je! taifa la Tanzania litafikia vipi dira yake ya maendeleo 2025 iwapo inaandaa taifa la watu wajinga?